Kuimarisha eneo lako la hifadhi ya jadi
Mwongozo kutoka kwa jamii
Unaalikwa kuanza safari ya kujiimarisha, mchakato wa kutafakari, majadiliano, na hatua ambayo inaweza kutoa maana halisi na kuunda taswira kulingana na mahitaji yako na matarajio ya jamii yako.
Tafakari
Kumbukumbu
Fahamu
Weka dire & Sherehekea
Chukua hatua na Fanya mawasiliano
Chukua hatua ukiwa na Wengine
Tathmini na Boresha
Mchakato huu una vipengele 7 vya kujiimarisha, kila kimoja kikiwa na mwongozo wa maswali, zana na mifano. Vipengele hivyo havihitaji kufuatwa ‘kwa mpangilio’ na vinaweza kuchukuliwa na kubadilishwa ili kuendana na muktadha wenu, kama itavyoamuliwa na jamii yenu.
.
Header photo: © Jacob-Balzani-Lööv